Ajira au usanii?

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Nimeona tangazo la ajira ya kujitolea kwenye NGO inaitwa Graduate International Organization(GIO) ambayo inaendesha programme inayoitwa Youth Awareness(YAP).
Mwenye Data zaidi na hii issue anitonye maana nimeomba wamekubali lakini wanataka pesa ya Mafunzo kias cha Elfu 30,sasa wasiwas wangu ni kuwa hii NGO ipo na je ni sawa kuchangia?Je kuna mdau yoyote humu jf amewah kufanya nao kazi?Hebu nijuzeni isije ikawa ni usanii tu.
Asanteni
 
Pana walakini hapo. Hao watakuwa matapeli, kaa nao mbali.
 
Nimeona tangazo la ajira ya kujitolea kwenye NGO inaitwa Graduate International Organization(GIO) ambayo inaendesha programme inayoitwa Youth Awareness(YAP).
Mwenye Data zaidi na hii issue anitonye maana nimeomba wamekubali lakini wanataka pesa ya Mafunzo kias cha Elfu 30,sasa wasiwas wangu ni kuwa hii NGO ipo na je ni sawa kuchangia?Je kuna mdau yoyote humu jf amewah kufanya nao kazi?Hebu nijuzeni isije ikawa ni usanii tu.
Asanteni

Mkuu kwa maelezo zaidi pitia hii link https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/559690-ukweli-kuhusu-yap-tanzania-huu-hapa.html
 
sasa hiyo ni ajira au kuchangia? ukipata kaz yoyote ukaambiwa utume pesa. kimbia fasta hakunaga hivo vitu duniani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom