Ajira ajira!! Mwalimu anahitajika haraka

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
11
Mwalimu anahitajika haraka sana
Mahali: Shinyanga Mjini
Sifa;

  • Awe na uwezo wa kufundisha masomo ya Advanced Mathematics, Geography, Physics and Chemistry.
  • Awe amesoma combination za EGM, PGM au PCM (At advance level)
  • Awe mkazi wa shinyanga

Mawasiliano
Mobile: 0713 294699, 0782 21 20 39, 0758 28 08 64
 
Hivi huyu mwalimu wa Advanced Mathematics, Geography, Physics and Chemistry. anatakiwa amesoma degre gani ambayo inampa uwezo wa kufundisha masomo haya yote? utapata bora mwalimu na si mwalimu bora
 
mwalimu wa Bed science, anafanya iyo kazi very nice. Ila selekali inadhani walimu ni mazuzu. Wasipo ongeza kashi walimu wenye elimu zao wanakimbia kupiga vyuo fani zingine.
 
Inawezekanaje mwl 1 akawa amesoma masomo hayo yote yaani PCM,EGM, PGM sina uhakika kama atakuwepo mwl kama huyo.
 
Nakushauri andika upya Tangazo lako tena liwe la kiprofesional maana unadeal na professional za watu!na kwa uelewa wangu hakuna mtu wa namna hiyo labda kama ni hao walimu wajanja wajanja au huenda na hiyo shule nayo ikawa ni ya kijanja janja pia! Lakini kiukweli hakuna professional Teacher mwenye uwezo huo unaotaka wewe! Samahani lakini!:A S angry:
 
Back
Top Bottom