Ajira 350 za Askari Magereza

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,997
2,000
Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji..

kuna tatizo mahala?
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,643
2,000
Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka?
yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji..

kuna tatizo mahala?
Mara ya mwisho magereza wameajiri lini?? Ni wangapi wamekufa, kufukuzwa, kubadilisha kazi au kustaafu katika kipindi chote hicho? Siyo kila jambo ni kupinga au kutengeneza negative theories
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,584
2,000
Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka?
yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji..

kuna tatizo mahala?
Na sisi uhamiaji tunatoa ajira
 
dean05

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
872
1,000
Magereza wana kipindi kirefu kimepita hawajaajiri, Askari wamehama, wamstaafu, wamefariki....
Magereza sasa wanatakiwa kujihudumia wenyewe na sio kupeleka mzigo serikali kuu. Ndo maana umeona idadi hio tena watu wenye ujuzi na taaluma mbalimbali. Mama na wizara ya ndani hapa wameupiga mwingi kiasi Fulani
 
Wuondruok

JF-Expert Member
Jul 2, 2019
349
500
Hakikisha una division four ya 28-32.

Taifa la wajinga kwerii kwerii. Kufeli sasa imekuwa ni sifa ya kupata ajira.
Kwa huu uandishi wako wa "kwerii kwerii" halafu unaita watu ni wajinga, ni wazi vidole vyako vitatu viko sahihi,,,,, kama umenielewa lakini.
 
Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,277
2,000
Kwa huu uandishi wako wa "kwerii kwerii" halafu unaita watu ni wajinga, ni wazi vidole vyako vitatu viko sahihi,,,,, kama umenielewa lakini.
Kwerii kwerii, hii lugha alinifundisha marehemu mwendazake, shujaa wa Afrika...nimekuwea rii mwishoni ili ujue sijaandika kwa bahati mbaya.
Sawa msomi???
 
Wuondruok

JF-Expert Member
Jul 2, 2019
349
500
Kwerii kwerii, hii lugha alinifundisha marehemu mwendazake, shujaa wa Afrika...nimekuwea rii mwishoni ili ujue sijaandika kwa bahati mbaya.
Sawa msomi???
Du! :oops: Nimezivagaa za uso 🤣🤣 .... Ok, ila nakachukia kauandishi na matamshi ya R na L, ndo maana......👍
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,272
2,000
Miaka ya 90 na 2000. Hakuna alitaka kwenda magereza kirahisi siku hizi ugumu upo kukataa kwenda kazi ya magereza.
Magereza wana ajili kwa kulinga wala hawakulazimishi.
Vijana wana hali ngumu sana hawana option kila kilichopo mbele yao ni halali yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom