Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,797
- 13,039
Aendee Dom tuu kabla ya deadline, jamaa anaongea utadhani amemuajiri huyo mtu wa mamlaka humu JF
Niliwapigia simu wakaniambia unaweka OG hayo ya ku-certify hawana haja nayo
Same as me, na leo tetesi za GPA wamekataa pia, kuwa hamna kitu kama hicho kwenye tangazo.
Kwenye zile ajira za TRA nilimuombea mtu.
The worst thing hakuitwa kwenye interview na sababu walisema ni "HAKU ATTACH CERTIFIED COPY"
sisi tuli scan original certificates then tukatuma kwenye portal.
Kumbe ilibidi Tuscan na ku certify.
Then TAKE CARE AND ALL RESPONSIBILITIES AND OUTCOME OF YOUR DECISIONS.
#YNWA