Ajinyonga baada ya kufeli mara tatu...

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Kijana mmoja kutoka Mungano - Newala anadaiwa kujinyonga kwa kamba ya nylon mara baada ya kufeli kwa mara ya tatu katika mtihani wake wa form IV....

Hatari hii jaman....

Source: Nipashe ya redio 1 leo.
 
Kwa kweli amenisikitisha sana, ila bado sijatambua nguvu ya namba 3 na maisha ya mwanadamu.

Kila kitu kinakwenda mara tatu. Tukianza na Utatu Mtakatifu, Alianguka Mara Tatu, Walisulubiwa watu watatu, Akafufuka siku ya tatu, Tuna Mafiga Matatu, Dakika Tatu, Kutwa Mara Tatu, ghrrr! Tatu Jamani Tatu, nini maana yako.
 
Kwa kweli amenisikitisha sana, ila bado sijatambua nguvu ya namba 3 na maisha ya mwanadamu.

Kila kitu kinakwenda mara tatu. Tukianza na Utatu Mtakatifu, Alianguka Mara Tatu, Walisulubiwa watu watatu, Akafufuka siku ya tatu, Tuna Mafiga Matatu, Dakika Tatu, Kutwa Mara Tatu, ghrrr! Tatu Jamani Tatu, nini maana yako.

Analyze yourselve about number 3

As you read God's Word you will find many occurrences where there are groups of 3 or
sequences of 3.

Three is the number of the Godhead
, The Father, The Son, and The Holy Spirit,

Mat 28:19, 2Cor 13:14


. Three persons in one God. (See details in No 96.)

There are 3 main sections to the Tabernacle that Moses built in the wilderness at
Mt Sinai: the outer court, the Holy Place, and the Holy of Holies; and there are three
entrances: the gate, the door and the veil, Ex 25-40. (See details in No 39.)
The journeys of Israel from Egypt to Canaan went through three stages: coming out of
Egypt, passing through the wilderness, and entering the promised land, Deut 6:23,
Deut 8:2,3, Ex 13:18.
The Lord established


three annual feasts for Israel: Passover, Pentecost, and

Tabernacles, Lev 23:1-44, which occurred in the lst, 3rd and 7th months. (See No 40)
In creation, God set the sun, moon and stars to give light, and to be for signs and
seasons, Gen 1:14-18, Rev 12:1.
In


Lk 11:5-8, Jesus spoke about the need of 3 loaves in the midnight hour, which could

refer to the purpose and will of the Father, the Word of the Son and the power and ability
of the Holy Spirit.
There are 3 that bear witness in the earth: the Spirit, the water and the blood, 1Jn 5:8.
The Spirit is the Holy Spirit. The water is a reference to the Word of God,


Eph 5:26. The

blood refers to the redeeming blood of Jesus, Eph 1:7.
There are


3 stages in the development of the seed of God's Word in our lives: the blade,

the head and then the full grain in the head, Mk 4:26-29.
There are


3 levels of development in the Christian life: little children, young men and

fathers, 1Jn 2:12-14.
2
In the Christian life there are


3 anointings of the Holy Spirit:

the personal anointing, 1Sam 16:13, the anointing of limited authority among God's
people, 2Sam 2:4, and the full anointing as a leader in the church, 2Sam 5:3.
There are


3 degrees of fruitfulness of the Word of God in our lives: thirtyfold, sixtyfold

and a hundredfold, Mk 4:20.
The Christian faces


3 main enemies which oppose his progress in the service of God: the

flesh, the devil, and the world, Eph 2:2,3.
There is a "


3 day period" between death and resurrection. As it was literally with Jesus,

Mat 16:21


, in the natural and physical, Mat 12:40, so it is a principle in our ongoing

Christian life. We go through various death to self experiences so that we might rise up in
Christ to newness of life in the Spirit. At times for us this "3 day period" may be quite a
struggle to go through and let God, bring us into new life, Hos 6:2.
Josh 1:11 is a further reference, where crossing Jordan is like a dying to self. Read
Gen 22:1-19


. Abraham went through a 3 day, v4, experience of "death and resurrection"

in his heart as God tried him.
The nature of man is 3 fold: spirit, soul and body, 1Thes 5:23,24.
God is the God of Abraham, Isaac and Jacob, Ex 3:6,15,16, Ex 4:5.
The curtains of the tabernacle had


3 colours woven into them: blue, purple and scarlet,

Ex 26:1


. Purple is a mixture of blue and scarlet. Blue signifies the Holy Spirit and the

ministry of the prophet. Scarlet signifies the Blood of redemption and the ministry of the
priest. Purple signifies kingship and rule and the ministry of a king. The ministry of Jesus in
heaven is as Prophet, Priest and King. Zech 6:13, Rev 2:1,8,12, 1Jn 2:1,2, Heb 8:1, 1:3,Mat
28:18.
The ark of Noah, that provided for the salvation of Noah, his family, and all the animals
and birds, had 3 decks or levels, Gen 6:14-16.
In the consecration of priests the blood of the ram of consecration was applied in


3

places: right ear, right thumb and right big toe, Ex 29:20.
The ministry of the Lord Jesus Christ is in


3 areas: Jesus = Saviour, Christ = Anointed,

Lord = the One of all authority. He brings to us fulness of salvation. He is the Baptiser
with the Holy Spirit. He is the One who has full authority over us.
There are 3 major steps in the Christian life: we are justified, we are sanctified, we are
glorified, Rom 5:9, Rom 8:30, 1Cor 6:11, 1Thes 5:23.
In the material creation, there are


3 states of matter: solid, (earth and rock), liquid, (water

in the sea, lakes and rivers), gas, (in the atmosphere around us).
4. Number 3 is the number of the Godhead.
As God is the Creator, Sustainer and Inheritor of all things, the number 3 is stamped on

all of creation and in particular upon all who believe and serve Him.

 
Laiti angelipata mtu mzoefu wa kumshauri kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha. Kuna watu wengi waliofeli mtihani / hawakusoma lakini wana maisha mazuri kuliko hao waliosoma.
 
Kiukweli ni njia mojawapo ya kuonesha ujasiri wake na uchungu wa kutomiza malengo, lakini ni udhaifu wa kutofikiria mbadala wa maisha na kukosa muongozo mwema, na labda ukifatilia kwa undani atakuwa ni mwenyeji wa Iringa, Mungu amlaze mahala pema peponi, natamani uamuzi huu wangekuwa wanachukua wanasiasa wetu kwa kushindwa kutimiza ahadi zao tamu tamu!
 
Huyu ni kama wale wanaojichoma moto kuprotest dhulma. Nchi inadhulumu watu maisha bora mpaka wanaona wajinyonge tu.

Maisha bora kwa kila Mtanzania ndiyo hayo.

Division 0 65,000!

Watu wanaona wajipige kamikaze tu. Mkwawa style.
 
Kufeli ni sawa na kupigwa kibuti, kama ulishawahi kupigwa kibuti zaidi ya mara tatu hakika utakuwa ni mtu wa nyeto.
 
mbona kuna mengi ya kufanya humu duniani, kwani ni lazima watu wote wasome? anyway, R.I.P
 
Laiti angelipata mtu mzoefu wa kumshauri kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha. Kuna watu wengi waliofeli mtihani / hawakusoma lakini wana maisha mazuri kuliko hao waliosoma.

Huyu alitaka kuelimika na siyo utajiri. Ila njia aliyotumia kuelimika(kujinyonga) nayo pia ni ku fail.
 
Back
Top Bottom