Ajinasua kwa wabakaji kiana

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,552
813
Mateja walikutana na mama mmoja wakasema hawataki cha ziada toka kwake labda kumfanyizia kitu kibaya.
Yule mama kwa upole akawambia kuwa yeye hana hiana lakini anawaonea huruma kwa vile bado ni vijana wadogo naasingetaka kuwaambukiza ngoma kwa vile keshapima na ni positive.
Hapohapo akafungua pochi nakutoa kondomu, wasela bangi ziliwaishia kila mmoja akasepa kivyakevyake.
 
Unawashaur kina mama watembee na Condom?. Au lengo lako nin!
 
Hapo hakukuwa na teja mkuu. Mateja ninaowajua mimi huwa hawana majadiliano, ni kwamba huyo mama angekula mtama watu wakala mzigo halafu hizo habari nyingine zingekuja baadaye.
 
Mwingine alidanganyia hivyo, baada ya basi lao kutekwa; majambazi yakamuita Chacha (mmoja wao mwenye ngoma) na kumwambia; 'mwathirika mwenzako huyu hapa'. Ilibidi mama wa watu ajieleze kuwa ni mzima ila ilikuwa njia ya kujikinga na maradhi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom