Ajaye baada ya Rais Samia kumaliza miaka yake kumi ya uongozi atakuwa na kazi nyepesi sana ya kuongoza Taifa letu

Kazi kubwa itakuwa kulipa madeni,riba itakuwa kubwa.
Kukopa siyo dhambi katika nchi na kwa nchi yoyote ile. Kinachoangaliwa ni unakopa kwa ajili ya nini?masharti ya mkopo yapoje? Muda wa kuanza kulipa mkopo ipoje? Riba ya mkopo ni kiasi gani?
 
Sidhani kama Kuna miaka 10...🙆🙆🙆
Ni miaka kumi na Rais samia ni yeye Tena muhula wa pili anayekwenda kuongoza Taifa letu ,kwa kuwa ni yeye aliye pewa kibali na yeye aliye juu ambaye ni yeye aliye muumba wa mbingu na Dunia ambaye ni yeye pia awainuaye watu na kuwaketisha juu na ambaye ni yeye aliyemuinua Rais Samia Kiuongozi na ambaye ni yeye anayeendelea kumlinda , kumpigania,kutetea na kumpatia maarifa na njia ya kuongoza Taifa letu.
 
Mpuuzi mkubwa wewe, kukosa umeme, maji, dola, petrol na gharama za maisha kuwa juu ndiyo kazi kubwa
Hali ya umeme Inaendelea kuimarika siku hadi siku na pia kufika mwakani suala la Changamoto ya umeme litabakia kuwa Historia katika Taifa letu,hasa baada ya Bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litazalisha mega watti 2115 na ambalo mpaka sasa limefikia 92%. Kwa hiyo tuwe watulivu watanzania
 
Ni miaka kumi na Rais samia ni yeye Tena muhula wa pili anayekwenda kuongoza Taifa letu ,kwa kuwa ni yeye aliye pewa kibali na yeye aliye juu ambaye ni yeye aliye muumba wa mbingu na Dunia ambaye ni yeye pia awainuaye watu na kuwaketisha juu na ambaye ni yeye aliyemuinua Rais Samia Kiuongozi na ambaye ni yeye anayeendelea kumlinda , kumpigania,kutetea na kumpatia maarifa na njia ya kuongoza Taifa letu.
Una uhakika Gani kama Mungu ndie alie muweka...?
 
Kwa hakika mh Rais amefanya kazi kubwa sana ndani ya muda mfupi wa uongozi wake,kazi ambazo zitabakia kama alama na kukumbukwa kwa miaka mingi sana ijayo. Ameleta mageuzi makubwa sana ya kiuchumi kisera na kisheria ambayo imekuwa chachu ya kasi ya maendeleo ya Taifa letu.
sure,
kwenye Elimu, Afya, Maji, kilimo, ufugaji, miundombinu usafiri wa anga, majini na ardhini, technologia, nishati, madini, uwekezaji, mawasilino, habari, Michezo, Umoja, Amani na utulivu, ulinzi, usalama, uwazi serikalini, uhuru, demokrasia.....

utaje nini huyu muMama hajagusa aiseee......
 
Hali ya umeme Inaendelea kuimarika siku hadi siku na pia kufika mwakani suala la Changamoto ya umeme litabakia kuwa Historia katika Taifa letu,hasa baada ya Bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litazalisha mega watti 2115 na ambalo mpaka sasa limefikia 92%. Kwa hiyo tuwe watulivu watanzania
Rubbish, kwamba CCM wamekosa watu wenye akili timamu wanakutuma wewe kuja kujibu hoja?
 
Ni miaka kumi na Rais samia ni yeye Tena muhula wa pili anayekwenda kuongoza Taifa letu ,kwa kuwa ni yeye aliye pewa kibali na yeye aliye juu ambaye ni yeye aliye muumba wa mbingu na Dunia ambaye ni yeye pia awainuaye watu na kuwaketisha juu na ambaye ni yeye aliyemuinua Rais Samia Kiuongozi na ambaye ni yeye anayeendelea kumlinda , kumpigania,kutetea na kumpatia maarifa na njia ya kuongoza Taifa letu.
Awamu ya pili vipi wakati 2025 anaanza awamu ya kwanza. Hii awamu alikuwa anamalizia ya magufuli
 
Back
Top Bottom