Ajali.

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
62
Habari wanajf, nimepata taarifa kuwa kuna ajali imetokea maeneo ya Kisesa Mwanza ambapo watu wawil wamepoteza maisha hapo hapo.

Inasemekana ni wanawake ambao wanafanya kazi za kimwili na mmoja wao anaitwa White ambaye ndie mkazi wa Lamadi Magu .

Naomba mwenye taarifa aliye Kisesa Mwanza atujuze .
 
Ina maana hao wanawake wamegongana mpaka wakafariki?
R.I.P marehemu wote....
 
Sad they had to die, na pole kwa ndugu zao na marafiki! Ila unaposema kazi za kimwili ni zipi lbd?
 
ni jina lilikutwa kwenye vitambulisho vyake maana kashakufa.
we huyo dada hajawah kupga kazi iringa bar inaitwa 255?alikuwa anajulikana km white na n white kweli!alikuwa akikuganda anapga bia hata kumi na 7!mara ya mwsho nlimwona mwez wa 9 akanambia ye n msukuma na c muda anataka arudi kwao maana iringa hakulipi!
 
mimi ni mfanyakazi ndani ya Lamadi kuna mfanyakazi mwenzangu aliye mitaa hiyo ndie aliyeniambia ila kajimtaa haka kanasifika kwa nyumba za wageni humu usukumani na wanawake wanaojiwezesha kwa kutumia miili yao.
 
mkuu nna waswas na huyu dada mana alikomaa kurudi mwanza had akaniomba naul cku iyo!sema cna namba yake,nlikuwa field irnga kipind kile na nmempigia jamaa wng wa irnga anadai white alishaondoka kitambo!
 
Back
Top Bottom