Ajali za barabarani tanzania nani wa kulaumiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali za barabarani tanzania nani wa kulaumiwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Nov 6, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ajali za barabarani hasa mabasi ya kwenda mikoani zimekithiri mno. chanzo nini? nani wa kulaumiwa, madereva, wamiliki au kikosi cha usalama bararani. kutokuwa sheria kali kumeathiri kiasi gani kuongezeka uzembe wa madereva? wasafiri nao wana nafasi gani kwani kuna wakati humuandama kwa maneno dereva anayekwenda mwendo mdogo.
   
Loading...