Ajali yaua watu kadhaa na kujeruhi baada ya Basi la Minziro kwetu (Bukoba-Mwanza) Kupinduka

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
imetokea muda muda mfupi katika eneo la Kimwani-Muleba wakati likitoka Bukoba kwenda mwanza

idadi kamili ya waliokufa na kujeruhiwa mtajuzwa baadaye!

Update:
Watu 4 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la Minziro Kwetu lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba.
 
poleni sana mliofikwa na msiba naamini mpo kwenye kipindi kigumu cha kuomboleza,tupo pamoja ktk kipindi hiki na majeruhi Mungu awajalie mpone haraka.Mungu awalaze mahali pema peponi waliofariki.Amen.
 
updates

Back
Top Bottom