Ajali yaua Mafinga

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,182
2,945
Habari wakuu,

Nimepata habari kuna gari ya kampuni ya Another G limedondoka jana Desemba 3, 2014 Rugemba katika Wilaya ya Mafinga mkoani Iringa na kuua mtu mmoja (inadaiwa wamekufa zaidi ya mmoja) papo hapo na kuacha majeruhi kadhaa.

AoHPTmMlIEB2BGvGjJNUK0c97FrMOGI0GMVwTR0x5Ers.jpg

 

Attachments

  • Iringa.jpg
    Iringa.jpg
    20.6 KB · Views: 312
Back
Top Bottom