Hata hao viongozi ni wananchi.Mkuu! shida moja ya viongozi wetu ni kuona sheria za barabarani (na nyinginezo) zimewekwa kwa ajili ya wananchi na sio kwao!
Wafuate sheria.
Pia wapitie machungu ya kuvuka mkoa wa Singida wenye 50kph zinazozidi kilomita mbili kwa kijiji chenye nyumba chache.
Wallahi Singida wana dhambi.
Unakuta kibao cha kuanza 50kph lakini cha kumaliza hakipo.
Baada ya vijiji vitatu unakamatwa eti bado uko ndani ya 50kph ya km tano nyuma.
Hii dhambi italipwa tu. Hao wanaotutesa kwa faini kwa speed 52 kph na tochi zao wao wanapeta zaidi ya 100kph eneo hilo hilo na magari ya serikali yanapaa kama roketi.
Hii si sawa.
Singida mjitafakari sana.