Ajali ya Ndege Zanzibar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya Ndege Zanzibar!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Oct 28, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Habari nilizozipata punde toka Zanzibar ni kwamba ndege moja inayomilikiwa na kampuni inayoitwa TAN-WING (yenye reg.No: 5H-PAY), aina yake CessnaF406, au Caravan-II imetua na kuharibika vibaya baada ya tairi lake la mbele kushindwa ku'lock, na hivyo kuisababisha ndege hiyo kukwangua pua yake kwenye runway, na kuharibika vibaya.
  Ndege hiyo inasemekana ilikuwa na abiri 12 na rubani 1, ambaye pia ni mmiliki wa ndege hiyo, anyefahamika kwa jina la Amin.

  Mungu siye Othman, abiria hao wote na rubani wamenusurika na kutoka salama. Haijajulikana bado ndege hiyo ilikuwa ikitokea wapi, na pia uraia wa hao abiria bado haujafahamika
  Habari zaidi tunazifuatilia.
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmmmmh kweli Mungu mkubwa sana.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  yawezekana na maigizo kama kule Mwanza na Arusha!!!??tafuta ukweli zaidi
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Roger that mkuu na pole mmiliki na abiria na pilot
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Habari ndio hiyo.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mjomba, napenda nikufahamishe kuwa hakuna kitu kama hicho...

  Kiutaalamu, unapofanya igizo/zoezi la ndege kuanguka huwezi kutaja details za ukweli za ndege na wamiliki kama zilivyoandikwa pale juu kwenye post yangu ya mwanzo...Huwa wanatafuta jina la shirika ambalo halipo, na registration ambazo hazipo, ndizo zinazotumika, otherwise wanaofanya zoezi hilo wanaweza kuwa sued na wakafilisiwa!
  This is a serious matter and not fabrication!
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa ndege ajali ya namna hii, ni bahati kubwa kweli kupona abiria. Yaani this is like a miracle!
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Si yawezekana, ni uzushi unaolenga kuangalia preparedness ya wahusika
   
Loading...