Ajali ya ndege ya kq Dar jana usiku ni uzembe ama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya ndege ya kq Dar jana usiku ni uzembe ama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 13, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,196
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  Kwa mliokuwepo uko mtujulishe kilichoendeelea;jana nimetumiwa msg usiku wakati ndege ya kq ikiondoka iligonga gari ya fuel iliokuwa nyuma yake na ikabidi warudi kwenye bridge kwa mliokuwepo embu tusaidien na sababu ni nini uzembe ama???
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  Umeme ulikikuwepo au ni km uwanja wa taifa?
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Labda walikuwa wanataka kutoroka kabla ya kulipa:pound:
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Labda rudani alisinzia :pound:
   
 5. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ni umeme tena, mbona ni aibu kuu hii.....
   
 6. f

  fazili JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  hizo ndge za kq zina breki na side mirrow kweli mi sijawahi kuona, ha hata honi nazo hamna kwenye ndege kwa mtindo huu mbona ajali zitaendelea tu
   
 7. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,546
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Na muungurumo wote ule kweli zinahitaji honi?
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nahisi rubani alikuwa anatanua ndo akakutana na gari ya fuel
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,637
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ndege huwa hazirudi nyuma... huwa zarudishwa na gari maalum...
   
 10. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hawa watani zetu rekodi yao ya usalama si nzuri, si zamani sana ndege yao ilianguka Cameroun.
   
 11. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hivi hii ni taarifa au tetesi kwa sababu mtoa mada ameuliza swali mi nilifikiri anatuhabarisha. hapa nimetoka kapa kwani nilitaka kupata habari kamili ila habari yenyewe inaelea hewani.
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,000
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Swiss air once aborted landing at jomo kenyata airport baada ya umeme kukatika ndege ilipokaribia runway, wakaja tua dar nayo ilikuwa ni aibu yao???
   
 13. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2016
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 11,902
  Likes Received: 8,573
  Trophy Points: 280
  Hamna hata mwenye taarifa kamili
   
 14. Mr. MTUI

  Mr. MTUI JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2016
  Joined: Feb 18, 2013
  Messages: 3,780
  Likes Received: 3,100
  Trophy Points: 280
  Rubani alikanyaga mafuta badala ya breki
   
 15. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2016
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,529
  Likes Received: 1,170
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii habari ilikuwa ni ya 2011....Kosa lilikuwa ni la "Ground Engineer" na "Mashaller" pamoja na mtu wa "Towing Car"

  Kama Engineer ni lazima ujihakikishie kuwa kabla ndege haijaanza push back basi mazingira yapo salama,kuanzia kuondoa choks,cones za pande zote na ndio unaruhusu break off kwa pilot,Lakini pia si huwa kunakuwa na Mashaller kama muongoza ndege?Ina maana aliruhusu vipi ndege iwe pushed back wakati gari lipo nyuma??

  Natamani ningepewa kazi hii nifanye 'Investgation" sema ndio hivyo tulishastaafu hizi kazi basi tunawaachia vijana.Ajali hii ni uzembe wa watu watatu Jambazi
   
Loading...