Ajali ya ndege ya kivita wakati wa maonyesho - USA

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,872
2dcadb13f0560c14f90e6a706700a219.jpg
93310b2c00be1115f90e6a706700cee3.jpg
ba48ecf3eeac0514f90e6a70670054c3.jpg
ba60c46bee800414f90e6a706700dab8.jpg
 
Bahati mbaya kwa watazamaji...hii si mara ya kwanza ajari kama hiyo kutokea. Wenzetu next time watafanyia kazi suala zima la safety
 
Hawa jamaa next time ndege itaruka mbali na taget ya watazamaji, lakini serikali yetu hata kumbukumbu ya yaliyopita hayana nafasi
 
RIP....wanashughulika na kuchunguza ajali....ili kupata suruhisho.... Wenzetu bongo msiba umeisha wanaanza safari za nje ya nchi kwa mikutano isiyoisha...
 
RIP....wanashughulika na kuchunguza ajali....ili kupata suruhisho.... Wenzetu bongo msiba umeisha wanaanza safari za nje ya nchi kwa mikutano isiyoisha...

Vasco da Gama ndani ya New York city, je New York City member aka W. Malecela kaenda kumpkea?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom