Ajali YA Ndege Mbeya leo

Idour bana......mbona habari zako hazijitoshelezi?....
Eleza ni ndege ya kampuni gani....inabeba watu wangapi....sababu ya ajali ni nini....nk
Pia usisahau kutueleza chanzo cha taarifa yako.....

Habari haijakamilika as wel,nmetoa alert as nlivyoona let me tel u da website uangalie

Idour bana......mbona habari zako hazijitoshelezi?....
Eleza ni ndege ya kampuni gani....inabeba watu wangapi....sababu ya ajali ni nini....nk
Pia usisahau kutueleza chanzo cha taarifa yako.....

Watu wengine sijui huwa wana haraka ya nini,

Mtu anapost habari kama hii ambayo ni very sensitive lakini inaning'inia tu bila muelekeo.

Sijui ndio mambo ya kutaka kuboresha idadi ya post!

Breaking news kutoka Mbeya kuna taarifa kuwa ndege imeanguka huko Mbeya maeneo ya UYOLE Tutaleta habari zaidi tukizipata. Kama mtu anahabari zaidi atujuze

source: tanzagiza.com

Watu wengine sijui huwa wana haraka ya nini,

Mtu anapost habari kama hii ambayo ni very sensitive lakini inaning'inia tu bila muelekeo.

Sijui ndio mambo ya kutaka kuboresha idadi ya post!

sijapost kwa lengo la kuboresha idadi ya post,hauelewi fatilia

Nifuatilie nini wakati mwanzilishi/mleta taarifa hujui unachokiripoti.

Huna reliable sourcena hujui mazingira ya ajali. Kiujumla huna taarifa zozote kuhusu ajali unayoisema zaidi ya kuokoteza vijineno vya hapa na pale.

Hiyo website uliyosema hapo mwanzo iko wapi? bila shaka unaongeza idadi ya post tu hapa. i'm out!

Idour, kubari kukosolewa na iwe sababu ya kujifunza ili uweze ku-improve. Hii ndio JF bana, hapa kila kitu... ni darasa tosha.

Nifuatilie nini wakati mwanzilishi/mleta taarifa hujui unachokiripoti.

Huna reliable sourcena hujui mazingira ya ajali. Kiujumla huna taarifa zozote kuhusu ajali unayoisema zaidi ya kuokoteza vijineno vya hapa na pale.

Hiyo website uliyosema hapo mwanzo iko wapi? bila shaka unaongeza idadi ya post tu hapa. i'm out!

ukurasampyahuu.blogspot.com
okay nmekupata

Mbeya Yetu Blog: http://mbeyayetu.blogspot.com/2011/09/taarifa-kamili-ya-ajali-ya-ndege-jijini.html

Ajali ya ndege namba 9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.

Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa EXPORT TRADING.

Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.

Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA

Mbeya Yetu Blog

aksante sana kiongozi kwa clarification
Actually kujua chanzo cha ajali ya ndege mara nyingine si rahisi sana,,,,inachukua muda! maana hadi uchunguzi wa kiufundi ufanyike!

Back
Top Bottom