Ajali ya mwendokasi DIT leo, lisingekuwepo lile tuta la kati (gema) katikati ya barabara ya mwendokas ingeepukika

Hii yote nikutaka kumuhujumu rais mzalendo wa wanyonge ikiratibiwa na Tundu Lissu
 
Kuna ajari mbaya Gari la mwendokasi limepanda gema na kuharibika vibaya sana; hakuna abiria aliyekufa,

Hapo inathibitisha wazi kwamba uwekaji Wa lile tuta au gema la katikati kwenye barabara ya mwendokasi haukuzingatia usalama, pia ni mwanzo Wa foleni endapo ajali inapotokea!

waweza pitia ushauri Wangu hapa chini niliowahi kuuotoa mwezi mmoja uliopita

View attachment 1209558
Bila ya hilo gema mabasi yangekuwa yanagongana uso kwa uso mara kwa mara, usalama umezingatiwa sana.
Ila Insurance fraud zimekuwa nyingi sana siku hizi, gari zikichoka tu, utaona balaa lake.
 
Back
Top Bottom