Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 901
Hili kundi lake lilikuja kuwa dismantled kwa transfers na yeye kuwa demoted.Unamaanisha yule aliyekufa kwa kuunguzwa na mafuta?
Hili kundi lake lilikuja kuwa dismantled kwa transfers na yeye kuwa demoted.Unamaanisha yule aliyekufa kwa kuunguzwa na mafuta?
Pia jamaa alikuwa gang leader wa matukio ya utekaji wa magari hasa mabasi na yale yaliyobeba bidhaa za thamani kubwa.Hili kundi lake lilikuja kuwa dismantled kwa transfers na yeye kuwa demoted.
Jamii forum mnanongwa yaani nyuzi kibao ilimradi moto uwende na watu!
kumbukeni hawa nao wanawatoto na wazazi pia.
District Community Dev.Officer😎Hiyo No 6. DCO ndio cheo gani ?
wanao ila sio kwa kuwachongea namna hii! yaani nahisi wanaume wamekuwa wapole kwa wake zaoWaliokufa hawana watoto na wazazi mkuu?
Best comment ever,good lucky Mkuu.teh..teh..teh...kilimo sio mchezo ndugu ukilinganisha na maisha ya mjini! nilishalima ifakara nikawa na mategemeo ya zaidi ya kunia 300 kwa ekari kumi kwa kilimo cha laptop lakini nilipoenda shamba nikaambulia gunia 27 na ikabidi niuze baadhi yamzigo kwa madalali wasioenda shule ili nipate nauli ya kutoka bush na kulipa vibarua acha kabisa ndugu! punguzeni jazba tubaki mjini tutajirekebisha.
kinachotokea ni kwamba anayechelewesha safari ni n'gombe wa mbele lakina anayepigwa ni n'gombe wa nyuma!
Hapana bosi, mm mwanaume wa mkoani bwanaHili kundi lake lilikuja kuwa dismantled kwa transfers na yeye kuwa demoted.
kweli mkuu, utu nao umetukimbia na wakati mwingine tunaadhibiwa kama funzoKatika hili tukianza kutafuta mchawi dah kila mtu atakua kosa lakini naona dunia watu tumekosa utu na nadhani maisha magumu yanatufikisha hapa tulipofikia lakini Mungu aturudishe katika njia sahihi