Ajali ya moto Msamvu, Morogoro: Waziri Mkuu aunda Tume ya kubaini kama mamlaka zilishindwa kutimiza wajibu

Tatizo kama hill alipo kwa polisi tu, lipo kwa idara na taasisi zetu karibu zote, hawawezi kufanya kazi kwa utashi Wa akili zao kutatua changamoto zinazojitokeza, wanashindwa kuwashauri wakuu wao wanapokutana na changamoto wanapo hudumia wananchi, itasikia subiri mkuu wangu wa kazi aniambie ndiyo litalitolea maamuzi. Huduma mbovu za taasisi zetu zinasababishwa na watendaji wetu kusubiri amri za wakuu Wa idara sio kutatua changamoto.
 
Hili kundi lake lilikuja kuwa dismantled kwa transfers na yeye kuwa demoted.
Pia jamaa alikuwa gang leader wa matukio ya utekaji wa magari hasa mabasi na yale yaliyobeba bidhaa za thamani kubwa.

Kuna wakati naambiwa walishawahi kummaliza driver aliyebanwa na usukani wa lori ili wapate wasaa mzuri was kubeba mali zilizokuwa kwenye gari.

Ila kuna wakati walikwama kukwapua mali za tajiri mmoja was Kongo. Lori lilibeba flat tv screens, walipojaribu kufungua ili kuiba ndipo wakakutana na nyuki wa hatari na ajabu. Ilibidi wawe wapole na kuulinda mzigo mpaka mmiliki alipofika.

Hili kundi lilikuwa ni hatari sana. Walishawahi kuteka gari yangu njia ya kuelekea Kiomboi.
 
teh..teh..teh...kilimo sio mchezo ndugu ukilinganisha na maisha ya mjini! nilishalima ifakara nikawa na mategemeo ya zaidi ya kunia 300 kwa ekari kumi kwa kilimo cha laptop lakini nilipoenda shamba nikaambulia gunia 27 na ikabidi niuze baadhi yamzigo kwa madalali wasioenda shule ili nipate nauli ya kutoka bush na kulipa vibarua acha kabisa ndugu! punguzeni jazba tubaki mjini tutajirekebisha.
kinachotokea ni kwamba anayechelewesha safari ni n'gombe wa mbele lakina anayepigwa ni n'gombe wa nyuma!
Best comment ever,good lucky Mkuu.
 
Katika hili tukianza kutafuta mchawi dah kila mtu atakua kosa lakini naona dunia watu tumekosa utu na nadhani maisha magumu yanatufikisha hapa tulipofikia lakini Mungu aturudishe katika njia sahihi
kweli mkuu, utu nao umetukimbia na wakati mwingine tunaadhibiwa kama funzo
 
TUONE MATOKEO CHANYA SANA JAPO KUNA WATU SIO WA KUWALAUMU KABISA....

TATIZO WATZ WABISHI SANA
 
Back
Top Bottom