Ajali ya Meli Zanzibar: Meli iliongezewa urefu kienyeji

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
171
Meli iliongezewa urefu kienyeji ;inamilikiwa na kiongozi mmoja wa juu kisiasa visiwani; chanzo cha SUMATRA kupigwa vita visiwani ni ubovu wa meli nyingi huku; baadhi ya makapteni wa meli waliikataa siku nyingi kwa kuwa haikukidhi seaworthiness...
 
na yale majahazi ya upepo yabebayo tani za cement na mizigo ya magendo kule tanga,mafia ,pemba na bagamoyo nani anayadhibiti seaworthness??
 
una uhakika mkuu ??kwa nini usituwekee foto ili tuamini,habari nusunusu sio nzuri
 
Tume zishaundwa Kuchunguza!! kunahitajika kuwe na tume kwenye idara zote ambazo zinahusu au kuna uwezekanao wa kutokea majanga
 
Wabongo maara zote tunalaumu baada ya matukio ni muhimu kupiga kelele mapema kabla ya matukio kama haya
 
na yale majahazi ya upepo yabebayo tani za cement na mizigo ya magendo kule tanga,mafia ,pemba na bagamoyo nani anayadhibiti seaworthness??

Mkuu mbona unataka kuchanganya issue ya Public safety na cargo?. Kusafirisha binadamu ni tofauti kabisa na mizigo, ndiyo maana hata leseni katika nchi makini zinakuwa na madaraja tofauti na la juu kabisa ni linalohusu usafirishaji wa binadamu. Sijaona Correlation kati ya thread na swali lako
 
<br />
<br />
Sidhani kama amechanganya issue mkuu..,Kwani mv spice islander iliyozama na kupoteza uhai wa ndugu zetu ilikuwa ya mizigo au ya abiria?Hata hayo majahazi aliyozungumzia yanapaswa nayo kuangaliwa kwa umakini regardless yanabeba mizigo,abiria au vyote pamoja!
 
Mkuu mbona unataka kuchanganya issue ya Public safety na cargo?. Kusafirisha binadamu ni tofauti kabisa na mizigo, ndiyo maana hata leseni katika nchi makini zinakuwa na madaraja tofauti na la juu kabisa ni linalohusu usafirishaji wa binadamu. Sijaona Correlation kati ya thread na swali lako
kaka hayo majahazi yanabeba mizigo na abiria kwa magendo na bei nafuu.hakuna issue iliyochanganywa hapo ni wewe usiyejua umejichanganya au kuna maslahi unayatetea hutaki yajulikane publicly.
 
Meli iliongezewa urefu kienyeji ;inamilikiwa na kiongozi mmoja wa juu kisiasa visiwani; chanzo cha SUMATRA kupigwa vita visiwani ni ubovu wa meli nyingi huku; baadhi ya makapteni wa meli waliikataa siku nyingi kwa kuwa haikukidhi seaworthiness...

Kuwa kiongozi wa juu kisiasa na kuendesha biashara kubwa ni mgongano mkubwa wa kimasilahi!
 
Back
Top Bottom