Ajali ya meli zanzibar is God will na serkali ya CCM haipaswi kulaumiwa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya meli zanzibar is God will na serkali ya CCM haipaswi kulaumiwa"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Jul 21, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Tukio la ajali ya meli lilotekea bahari hindi na kuua majority of zanzibarians halina haja tena ya kublame serkali ya CCM na wala mtu binafsi au meneja wa meli hiyo, kwani hili swala si la kisiasa hata kidogo kwani " Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure" hivyo swala hili is totally spiritually kwani bibble had explained that all happens today.
  Tukitrace back tukio la uchomaji wa makanisa zanzibar kwa chuki za udini ni wazi kwamba Mungu mkuu wa Israel katimiza neno lake kwani He had said that " Yeyote atakayeshindani nanyi, hashindana nami pia vita si vyenu bali ni vya bwana"
  mwenye ufahamu apate kujua haya because " then you will come to find the truth and that truth shall set you free.

  "The chicken are coming home to roost"
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unasema. All blame on him? au?
  Unaweza kutuongezea na reference kwenye hiyo Biblia yako inapoonyesha kwamba aliahidi kuzamisha meli?
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Kama haya ndio mahubiri unayotoa kanisani kwako, Count me out.

  Ee Mungu wawezeshe watumishi wako waweze kuielewa Bibilia Vizuri. Wawezeshe Mungu wasiweze kuitumia Biblia kama chombo cha kupotosha waumini Bali Chombo cha kuwatengenezea Njia waweze kukufikia.

  Baba wa rehema Kuna maovu mengi sana Duniani kwasasa, maovu hayo sio tu kwaajili watu hawasomi biblia bali pia yanatokani na Tafsiri mbovu ya kitabu chako kitakatifu.

  Mungu ibariki Tanzania,
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hiyo dhana ndiyo inatuponza waafrika.
  Yani ndani ya mwaka ajali ya dizaini ile ile inatokea mara mbili.
   
Loading...