Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
jamani hyo Meli iliyowapita na walaaniwe wangechukua watoto na swali je kama wali wavisha maboya watoto je? Mbona wamekufa wengi?
jamani hyo Meli iliyowapita na walaaniwe wangechukua watoto na swali je kama wali wavisha maboya watoto je? Mbona wamekufa wengi?
Hapa naona Mchawi ni Vodacom, maana wasinge fanya Miss Tanzania watu wasingekufa kabisa, ila wao wamefanya na watu wamekufa ,nadhani serikali i dili na VODACOM , kuwafungia ili watu wasife zaidi!