Ajali ya Meli: Waokoaji toka SA washindwa kuifikia, wasitisha rasmi zoezi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Vikosi vya uaokoaji kutoka Afrika Kusini wamesema wameshindwa kufikia Meli iliyozama kutoka na kina kirefu.
Waokoaji wamesema Meli hiyo ipo kwenye kina kirefu cha Mita mia 300 wakati vikosi hivyo uwezo wake ni kufika Mita 54 tu.
Wamesema itabidi waite Nyambizi kubwa kutoka Afrika Kusini ndio yenye uwezo wa kufanya kazi hiyo

SOURCE: TBC HABARI
 
Zile Boti za KMKM kazi zao kubwa eti kukamata magendo magendo ya karafuu tu. Hamna chochote wanachoweza
 
Hii inanishangaza sana kwani hawa jamaa hawakufanya tafiti zao wajue meli imezamia wapi na iko kina gani kabla hawajafunga safari kuja. Maana hata kama wangefanya calculation mbaya isingekuwa hiyo 54m to 300m walidhani imezama mto msimbazi...? Nimeudhika sana na hizi longolongo zetu za kufanya mambo kiubabaishaji.
 
<font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Hii inanishangaza sana kwani hawa jamaa hawakufanya tafiti zao wajue meli imezamia wapi na iko kina gani kabla hawajafunga safari kuja. Maana hata kama wangefanya calculation mbaya isingekuwa hiyo 54m to 300m walidhani imezama mto msimbazi...? Nimeudhika sana na hizi longolongo zetu za kufanya mambo kiubabaishaji.</span></font>

Jamaa wa SA awana makosa wenyewe wameitwa kuchek ndo wakakuta ipo deep kiasi hicho. Tatzo la wa tz si unajua watu wanajifunza kazi ukubwan mazoez kama wanafanyia kwenye maswiming pool lazma utegemee ubabaishaji kama huu.
 
Kushindwa kwa waokoaji ni furaha ya serikali yetu mbovu.
Wanashukuru ukweli wa watu wangapi walikuwa kwenye meli
hautopatikana
 
Mi nahis serikal imewaambia hawa waokoaji watoe taarifa hiz ili washauri ile meli iachwe km Mv Bukoba ili kuzuia ukwel wa idadi ya vifo visijulikane maana ingekuwa aibu kubwa.
 
Kuna taarifa imenishtua sana leo eti meli ilikuwa na watu 3000
Sasa unashtuka nini ?mbona mie nimeskia taarifa kuwa meli ilikuwa na watu elfu 5000 ila sijastuka ,,,,,mkuuuu hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
hapo walipo serikali ya ccm wanachekelewa maana ilikuwa aibu meli ya kubeba mizigo kugeuka ya abiri na kubeba watu zaidi ya 3000 badala ya 600..
 
Mi nahis serikal imewaambia hawa waokoaji watoe taarifa hiz ili washauri ile meli iachwe km Mv Bukoba ili kuzuia ukwel wa idadi ya vifo visijulikane maana ingekuwa aibu kubwa.
Mkuu, hiyo kazi ya uokoaji ni taaluma sio cheo cha kupewa unadhani hao jamaa wanaweza kupangiwa kama unavyodhani. Wenyewe wamekuja kuangalia hiyo ajali wameona mazingira ya hiyo ajali ndio wamesema hivyo, kuwa wataleta Nyambizi ili waifikie hiyo meli
 
Hiyo meli hata wakileta nyambizi labda waitoe usiku kama ilivozama,lakini nadhan itakuwa na mabaki ya miili ya watu wengi sana sana sana
Mkuu, hiyo kazi ya uokoaji ni taaluma sio cheo cha kupewa unadhani hao jamaa wanaweza kupangia kama unavyodhani. Wenyewe wamekuja kuangalia hiyo ajali wameona mazingira ya hiyo ajali ndio wamesema hivyo, kuwa wataleta Nyambizi ili waifikie hiyo meli
<br />
<br />
 
Hii ni aibu kweli. Si tuna navy (kikosi cha wanamaji cha jwtz) hapa kwetu, kumbe hawana uwezo?

Lakini binafsi, tangu mwanzo napata hisia kuna harakati za makusudi kabisa kujaribu kuficha ukweli juu ya jambo hili ili kukwepa uwajibikaji. Tumemsikia huyo mbunge wa pemba, anasema kuna uwezekano meli ilbeba watu 3,000! Sasa kama meli hii ikifikiwa na watu wakajua ukweli kuhusu idadi kamili inaweza kuwaletea shida watawala wetu...na hilo naamini ndilo wanalojaribu kulikwepesha!
 
Hii inanishangaza sana kwani hawa jamaa hawakufanya tafiti zao wajue meli imezamia wapi na iko kina gani kabla hawajafunga safari kuja. Maana hata kama wangefanya calculation mbaya isingekuwa hiyo 54m to 300m walidhani imezama mto msimbazi...? Nimeudhika sana na hizi longolongo zetu za kufanya mambo kiubabaishaji.

Naona tuko mkondo mmoja, yaani nimeudhiwa sana na hizi longolongo, ingawa sina uhakika natakiwa nimlaumu nani, coz wao waliitwa
au walijitolea kuja? Manake kama waliitwa aliyewaita naye alitakiwa atoe information za kutosha. Na kama walijitolea wenyewe si wangeulizia details jamani au?
 
Back
Top Bottom