nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Ni kweli, hayo ndiyo matunda ya Capitalist System... Capitalist Motto Man exploits Man... Pesa zimetembea zashibisha Matumbo hakuna anayejua kinachoendelea...
Na bado, wachache wataendelea kumiliki Uchumi wetu na hawajali wananchi wanajali pesa Meli ilikuwa imejengwa kubeba abiria 550 lakini hii ilikuwa na Mizigo Mingi na abiria zaidi ya mara mbili 1,100
Utamu wa Azimio la Zanzibar... Mnakumbuka wakati wa Ujamaa kabla ya Mzee Ruksa tulikuwa na meli lakini hakuna hajali? Serikali ilikuwa Makini
Mzee Ruksa katumaliza na bado!!!