Ajali ya Meli: Unbelievable !

Ameir Eshaq

Member
Jan 3, 2011
35
1
'I thought Tanzania is mourning the deaths of those who died when the ferry capsized..<br />
How come the beauty contest (Miss Tanzania) haven't been postponed?
 
siku tatu imetolewa ya maombolezo si dhani ni vizuri kuendeleza vitu vingine kama miss...
 
Labda kwa sababu ilitangazwa maombolezo yataanza leo wakaona wamalize shughuli yao kabisa.
 
Ubinadam kaazi kweli kweli wewe au mimi mtachukulia janga ila wenzetu waandaaji wa mis tz ni jambo la kawaida
 
Priority ya serikali ya ccm ni kushinda uchaguzi na sio usalama wa raia wake!! Life must go on unabated.
 
Back
Top Bottom