Ajali ya Meli: Unabii wa Justine Kalikawe watimia

Haya sasa wewe ndo mmoja wao. Unaweza ku intergrate uwezo wa pete hiyo, mbali ya kukuambia co ordinates za meli/chombo, iwe na uwezo wa ku detect kuwa chombo kiko over capacity na kinatuma signal control room tayari kwa hatua zaidi. Meli zina prisom lines na magari overloading inasomeka kwa axle wise. Just think outside the box, utajua namaanisha nini!

Kwenye red umenikumbusha enzi za engineering science form two but i think they are primsoll lines( i stand to be corrected).
 
To me it was interesting. Jamaa alikuwa akieleza kuwa mbuga/hifadhi ya wanyama SAADANI ni "unique" kwa kuwa ina KASA wa KIJANI. Kasa hao wamefungiwa pete maalum kiasi kwamba popote anapotembea kasa huyo ndani ya bahari anakuwa monitored. Kasa hao hutembea hadi INDIA na Pengine SOZA AFRICA!

Bado wanakuwa detected. Jambo lingine ni kuwa ukifika wakati wa kuzaliana hurudi hifadhini. Good, jambo nnalowaomba SUMATRA, fungeni PETE/CHIP kama hizo kwenye vyombo vyetu vya kusafiria. Binafsi naamini 100% inawezekana sana. Tuache uvivu wa KUFIKIRI.

Mkuu wakishafunga halafu iweje? Nimeshindwa kujua lengo lako ni nini hizo chip zikishafungwa. Nifumbue macho mkuu
 
Back
Top Bottom