Ajali ya Meli: Unabii wa Justine Kalikawe watimia

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya.

Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba"

Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la overloading tz ni kubwa na serikali eti wametuma uchunguzi kwanini meli imepinduka na kuzama, kweli hawajui chanzo cha meli kupinduka ni nini!

Ni aibu kuona meli mbili sasa zimepinduka kwa kosa moja ambalo ni uzembe.
 
Zitaendelea kupinduka,baada ya miezi michache tutasahau. Tutaendelea na uzembe wetu kama kawaida.
 
Tanzania kuna Tume kibao zinaundwa, pamoja na bodi kibao hata haukuna uwajibikaji wa kweli. Swali nani atakuwa wa kwanza kumvika paka kengele?
 
Waunde tume tu kila kona! Dhuruma aliyoifanya kikwete kwa kusaidiwa na vijana wa kijitonyama itaendelea kulitafuna taifa!
 
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya.

Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba"

Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la overloading tz ni kubwa na serikali eti wametuma uchunguzi kwanini meli imepinduka na kuzama, kweli hawajui chanzo cha meli kupinduka ni nini!

Ni aibu kuona meli mbili sasa zimepinduka kwa kosa moja ambalo ni uzembe.

Si rahisi kujua kwa uhakika, utaratibu unaelekeza kuwa ni lazima uchunguzi ufanyike.
Kwa kifupi, ili kujua ukweli wa jambo lolote....zikiwemo ajali, huna budi kufanya uchunguzi.
 
Lakn kwa hili la overloading sijui tufanye nn. Utakuta abiria wenyewe tuna support kwa kukubali kusimama. Na kwenye basi tukifika mizani tena tunashuka ili gari lionekane sawa. Jamani tanzania tulilogwa wapi sisi? Ni nani anaweza tuondolea laana híi.
 
Watanzania hawathamini maisha yao naweza kusema hili kwa uhakika maana ukweli uko wazi sasa .
 
hivi jk hakuahidi meli mpya kati ya pemba na unguja ? wenzao wa dodoma meli yao ishafika.
 
To me it was interesting. Jamaa alikuwa akieleza kuwa mbuga/hifadhi ya wanyama SAADANI ni "unique" kwa kuwa ina KASA wa KIJANI. Kasa hao wamefungiwa pete maalum kiasi kwamba popote anapotembea kasa huyo ndani ya bahari anakuwa monitored. Kasa hao hutembea hadi INDIA na Pengine SOZA AFRICA!

Bado wanakuwa detected. Jambo lingine ni kuwa ukifika wakati wa kuzaliana hurudi hifadhini. Good, jambo nnalowaomba SUMATRA, fungeni PETE/CHIP kama hizo kwenye vyombo vyetu vya kusafiria. Binafsi naamini 100% inawezekana sana. Tuache uvivu wa KUFIKIRI.
 
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya.

Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba"

Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la overloading tz ni kubwa na serikali eti wametuma uchunguzi kwanini meli imepinduka na kuzama, kweli hawajui chanzo cha meli kupinduka ni nini!

Ni aibu kuona meli mbili sasa zimepinduka kwa kosa moja ambalo ni uzembe.

Unachojaribu kusema ni nini?
 
To me it was interesting. Jamaa alikuwa akieleza kuwa mbuga/hifadhi ya wanyama SAADANI ni "unique" kwa kuwa ina KASA wa KIJANI.

Kasa hao wamefungiwa pete maalum kiasi kwamba popote anapotembea kasa huyo ndani ya bahari anakuwa monitored. Kasa hao hutembea hadi INDIA na Pengine SOZA AFRICA! Bado wanakuwa detected.

Jambo lingine ni kuwa ukifika wakati wa kuzaliana hurudi hifadhini. Good, jambo nnalowaomba SUMATRA, fungeni PETE/CHIP kama hizo kwenye vyombo vyetu vya kusafiria. Binafsi naamini 100% inawezekana sana. Tuache uvivu wa KUFIKIRI.

Sasa kwani issue hapo ni monitoring ya kuona meli imekwenda wapi au suala ni ku-observe capacities za vyombo vyetu vya usafiri?
 
Sasa kama meli iko moja na ni kimeo uzembe wa watz uko wapi?

Serikali lazima ifanye tathmini ya idadi ya watu wanaosafiri kwa iyo miundo mbinu kama ni wengi kuliko vyombo unanunua meli ingine!Same logic ilotumika kuweka vivuko viwili dsm.

But no one cares bse hawa ni wtu ambao huwatumia kabla tuu ya uchaguzi baada ya hapo huwatosa kama ganda la mua
 
Pesa za Tume za kuchunguza "uzembe" zitumike kusahihisha mapungufu katika kila nyanja.Haiingii akilini kwanini tuingie gharama zaidi wakati tuna mapungufu mengi kila sekta.Government pls be proactive instead of reactive katika uzembe.Ni AIBU!
 
alichosema ni kweli tupu...inabd uongoz wa hzo meli ujibu hizo 2huma za kujaza wa2 kama mpunga kwenye gunia bwana....
 
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya.

Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba"

Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la overloading tz ni kubwa na serikali eti wametuma uchunguzi kwanini meli imepinduka na kuzama, kweli hawajui chanzo cha meli kupinduka ni nini!

Ni aibu kuona meli mbili sasa zimepinduka kwa kosa moja ambalo ni uzembe.

Kama meli inajulikana ni nzima haikutoboka, lakini ikazama itakuwa ni kwa kukiuka kanuni ya Archimedes, yaani inakuwa na uzito uunaozidi upthrust ya maji. Kwa hiyo hakuna haja ya kutumia pesa ya walipa kodi kufanya uchunguzi huo bali na kutambua kuwa meli ile ilikiuka kiwango chacke halali cha abiria!! Opereta wa meli ile kavunja sheria!
 
Nchi hii aina mwenyewe kila mmoja akipata nafasi anataka kula bila kujali wengine,ndo maana viongozi wanajilimbikizia mali za umma ili wakitoka madarakani wafaidi na familia zao huku walala hoi wanaendelea kutaabika tu, muda umefika sasa kila mmoja awe askari wa mwenzie.

Idadi ya vijana kukimbia nchi yao kupita kutafuta maisha bora inazidi kuongezeka kwasababu nchi haina muelekeo hakuna unafuu kila sekta tabu tupu,usafiri wa maji ndo huo, mabus ndo usiseme kila kukicha ajali,train ndo balaaa. Air Tanzania ndo hizo zimejaa matanda bui tu,umeme ndo kilio kila kukicha sijui hali hii itakuaje twafaaaaaaaaaaaa
 
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya.

Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba"

Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la overloading tz ni kubwa na serikali eti wametuma uchunguzi kwanini meli imepinduka na kuzama, kweli hawajui chanzo cha meli kupinduka ni nini!

Ni aibu kuona meli mbili sasa zimepinduka kwa kosa moja ambalo ni uzembe.

wanataka per diem tu. Jibu wanalo...
Utaona kama hao walioruhusu overloading watawajibishwa!!! Ng'o
 
bendera ndo zinaomboleza msiba huu...wanadamu hawana hata mda.kuna watu wengine walikuwa hata hawajui kinachoendelea
 
Sasa kwani issue hapo ni monitoring ya kuona meli imekwenda wapi au suala ni ku-observe capacities za vyombo vyetu vya usafiri?

Haya sasa wewe ndo mmoja wao. Unaweza ku intergrate uwezo wa pete hiyo, mbali ya kukuambia co ordinates za meli/chombo, iwe na uwezo wa ku detect kuwa chombo kiko over capacity na kinatuma signal control room tayari kwa hatua zaidi. Meli zina prisom lines na magari overloading inasomeka kwa axle wise. Just think outside the box, utajua namaanisha nini!
 
Back
Top Bottom