Ajali ya mabasi ya kenya huko pwani, rais kibaki atuma ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya mabasi ya kenya huko pwani, rais kibaki atuma ndege

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtumiabusara, Aug 10, 2012.

 1. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Rais MWAI KIBAKI ametuma ndege kuja kuwachukua majeruhi wa ajali ya mabasi ya kenya iliyotokea huko Pwani
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu, acha kunirusha roho. hope habari si ya kweli maana nitazidi kuichukia tanzania
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sumry,ally,shabiby buses leo asubuhi morogoro ndani ya nusu saa ajali 3 pia ma bus 2 ya kenya na lorry segera chalinze wamekufa wakenya 13.jee leseni mpya zimepunguza ajali?juzi tabora watu 19 wamekufa
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Habari ni kweli mimi nimeisikia Hot96 FM kituo kimoja hapa Nairobi. Ametuma ndege ya Kenya Airforce. Jamaa ameshtukia mgogoro wa madaktari Tanzania sijui.
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hii ni kweli hata mie nimeiona kwny taarifa ya habar ya sa 2 itv
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  Itakuwa... bora kinga kuliko tiba.
   
 7. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Inaonyesha majirani zetu hawatuamini kwenye masuala ya tiba
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kibaki anajali watu wake. Ingekuwa watanzania ndiyo yamewakuta huko Kenya hata balozi wetu asingehangaika achia mbali kutuma ndege. Sisi tunaitana ndugu lakini ukweli si ndugu kitu bali unafiki. Tunawacheka wakenya kwa ukabila wakati sisi tunao tena jumlisha ujimbo, udini hata uanachama. Kimsingi, Tanzania went to dogs the day mwalimu Nyerere left the state house. Tuna serikali ya kuhudumia genge dogo la walaji wasio na shukrani wala visheni isipokuwa kujihudumia na kula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Good Job brother Mwai wa Kibaki jamba ya Othaya. Ni wega muno (samahani kwa kutumia lugha ya Kibaki).
   
 9. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dah. Nchi yangu tanzania, hivi wewe unaweza kunifanyia hivi kweli nikipata matatizo nje ya nchi?
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tz hawawez kufanya hiv-maana hii nchi haina ndege-ina chopper chache tu za vyama vya siasa-zinazotumikaga kipindi cha kampen-si kusaidia watu
   
 11. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Tanzania haiwezekani kamwe
   
 12. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ingekuwa watanzania ungesikia mpaka serikali itafute fungu. Najuta kuwa mtz
   
 13. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Sisi tulianza kwanza kushona uniform za cabin crew!
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Watuamini wapi?Yule kiongozi wa kumyeka Dk Ulimboka ni Mkenya......lazima wawe na wasiwasi
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,370
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Alichosema father of all hapo juu kina ukweli 100%
   
 16. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  hakyanani mkuu, mi mwenyewe nimebaki mdomo wazi. i hope serikali ya CDM itakuwa na ubinadamu na kujali watu wake kama hivi.
   
 17. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Hii nchi yetu inayoendeshwa kwa matukio kama zima moto utaiweza? Police traffic kikubwa kinachowatoa barabarani ni kwenda kukusanya ushuru wa buku moja/mbili na wala kamwe sii kukagua magari. Kibaya zaidi hili linafahamika na watawal na hata magari yao yafanyapo safari huwapa madreva wao pesa za kuwahonga mapolice traffic. Kingine hii nchi imekabidhiwa kwa saangoma katika chumba cha controlling, hasa hii awamu ya nne watawala wamezidisha utegemezi wa nguvu za giza. Kasi sii neema ya Mungu na kwa maombi ya watakatifu wake waliopo nchini, basi kutakuwa na maangamizi makubwa zaidi.
  .
   
 18. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hawatuamini kutokana na matukio ya madaktari hivi karibuni na ukosefu wa vitendea kazi!
   
 19. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Jana Wilson airport ya nairobi ilikuwa busy kupokea majeruhi wa ajali hiyo....kwa kweli kuna kila sababu ya kusikitika mwanadamu unapozaliwa na kujikuta umezaliwa kwenye nchi inayoitwa Tanzania!
   
 20. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dah umenikumbusha hata wale wanakwaya wa rwanda( ambassadors) kagame alituma helkopter ya jeshi kuwachukua walipopata ajali, it seems hawatuamin hawa jiran zetu
   
Loading...