Ajali ya kutisha: Zaidi ya watu 40 wahofiwa poteza maisha!

Ama kweli hali ya hewa siyo TZ ye2! Ndg zetu,rafiki na hata jamaa wanatoweka kila leo ktk ajali ya barabarani. Nasema ajali hz ni JANGA kwa Taifa na isipoangaliwa tena vizuri hakika nawaambia tutaishia barabarani. MUNGU MWENYE MAMLAKA TUKO CHINI YAKO TUKIKULILIA MUNGU WETU,KATUZIDISHIE MALAIKA WAKO KTK ULINZI. Amen!!
 
Message delivered ..Bus limewaka moto....That is it...Sasa kama lilikuwa na abiria wengi the barabarani pamejaa trafik walio busy kukusanya milungula.Sasa kama imetokea ajali patakuwa na maneno meeeengi kujikosha kwa ajali hiyo..Au upelelezi unaendelea kujua chanzo cha ajali..We need changes every where..Watu wanafanya kazi kiuzoefu na inatugharimu maisha....GOD KNOWS
 
habari nilizozipata hivi punde zinasema basi moja lijulikanalo kama deluxe line lililokuwa likitokea dar kwenda dodoma limepinduka na kuwaka moto katika eneo la misugusugu mkoani pwani na kuua zaidi ya watu 40. Ajali hiyo imetokea mishale ya sa tisa mchana. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa abiria mmoja ambae alikuwa safarini kutoka dar kwenda dodoma akiwa kwenye basi lingine. Mwenye habari zaidi atujuze.

ndio maana tumekwama hapa kongowe. Hizo taarifa nimezipata na kiufupi kuna foleni ndefu sana. Tunasafirisha msiba kwenda mkoani. Nikipata picha nitazituma humu
 
nipo eneo la tukio shughuli za uopoaji zinaongozwa na mkuu wa mkoa wa pwani kwa kweli basi limeteketea vibaya kanga zinatandazwa hapa ili kuhifadhi miili ya marehemu inasikitisha sana!
 
Dar shabiby mkuu mbona mwendo wake huwa ni mzuri tuuu!

Mkuu watu mda mwingi huficha makucha,, ila naamini kuwa ulichosema kina ukweli zaidi maana kuna bus zina asili za kupunguza mwendo pindi wakiona Traffik njaa na baada ya kuwapita mwendo nia kama wamebeba mawe..
 
nipo eneo la tukio shughuli za uopoaji zinaongozwa na mkuu wa mkoa wa pwani kwa kweli basi limeteketea vibaya kanga zinatandazwa hapa ili kuhifadhi miili ya marehemu inasikitisha sana!

inasikitisha sana... tuwekee picha
 
mara delux mara shabiby what is what and which is which?[/QUOT

Hivi wewe utapona lini huo ugonjwa wa pumu maana watu wanaongea vitu vya maana ila wewe unaendekeza ugonjwa wako sugu wa kutokunywa dawa ili upone,,, wote tumepata taarifa ya bus tofauti,, kwahiyo hapa kikubwa ni kujua nia ndugu zetu wangapi wamepona na wangapi wametutoka,,,
Acha ushamba wa kijijini au ndoo mara ya kwanza kuingia jamvini na kutoa maoni maana inawezekana hujui maana ya thread za msingi humu jamvini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Natoa pole kwa wote. KAMA NI MKONO WA MUNGU AHIMIDIWE NA KAMA NI UZEMBE WAHUSIKA WOTE WALAANIWE.
 
Nilisikitika sana kuiona hii taarifa jamvin hapa(siyo hii) watu wakisifia ajali ajali nakufurahi!Mungu warehemu wote waliotangulia mbele za haki
 
kWANZA NATOA POLE KWA WOTE WALIOGUSWA NA AJALI HIZI. PILI NAOMBA MWENYE TAARIFA SAHIHI ZA AJALI ATUJUZE TUJUE KAMA NI DELUX AU SHABIBY AU ZOTE MBILI ZIMEPATA AJALI.
 
....aiseee! inasikitisha kwakweli: anyway imeishatokea cha msingi ni kuomba mungu familia zilizopoteza ndugu zao wapendwa ziwe na ujasiri wa kuvulia katika kipindi iki kigumu.

kama ajari imetokana na mwendo kasi basi speed governor ni muhimu sana kutumika, vinginevyo roho zetu ziko mashakani.
 
kWANZA NATOA POLE KWA WOTE WALIOGUSWA NA AJALI HIZI. PILI NAOMBA MWENYE TAARIFA SAHIHI ZA AJALI ATUJUZE TUJUE KAMA NI DELUX AU SHABIBY AU ZOTE MBILI ZIMEPATA AJALI.

basi ni la deluxe ameauziwa na shabiby
 
Oh God y us? Give us the strength to overcome this tragedy and rest the souls of our beloved in ur internal peace. Amen
 
Mipango ya mungu kwa kweli,na kila kitu tumuachie yeye, poleni sana ndugu wa marehemu.....
 
SHABIBY ndiyo basi ninazopandaga mim kuja Dar' hawajazi watu wala kasi si kali labda kama na wenyewe wameanza kuchakachua,hata hvyo nawapa pole ndugu zetu!
 
shabibiby.jpg mpaka sasa majeruhi 35 wamepokelewa hospitali,hakuna maiti ilopokelewa
 
Back
Top Bottom