Ajali ya fuso yazima shamrashamra za CCM Igunga

Oh tumwombee marehemu apumzike kwa amani mahali pema mbinguni. Hao wafuasi wa mafisadi washindwe na walegee!
 
gundu tayari kwa Magamba au ndio wametoa kafara????
<br />
<br />
mkuu hili kafara..
ngoja tuone na hilo gari litapigwa ban maana linaonekana kama ni chombo cha usafiri kutokana na kubeba watu.

R I P KIJANA..
 
Nyota njema?................................... na nyota mbaya?.................................................. akili kichwani mwa sisiemu
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihidimiwe!Inallilaah waina lilllaahi!Inasikitisha kuona magamba wameanza kutoa kafara hadharani,bila woga na hofu mbele ya mungu!hyo damu iliyomwagika ndo wino wa kura ya NDIO kwa wana mageuzi na wapigania uhuru wa kweli
 
iko damu ishindayo hizo kafara zenu nyie magamba mkumbuke ndio iliyo waangusha pale AR na miji mingine na itawaangusha pia IGUNGA. Tunae MUNGU.
 
"iko damu ishindayo hizo kafara zenu" mkumbuke iliwaangusha AR na miji kibao,itawaangusha hata IGUNGA pia.
Tunae MUNGU.
 
msitumie malori kubeba washabiki wenu!
Kama wanawakubali waacheni waje wenyewe, kwa nini mnawabeba kama ng'ombe?

Nimecheka mbavu sina................TANGIAPO HAWA NI NG'OMBE TU, HAWANA TOFAUTI NA WALE WALIOSUKUMA GARI LA FISADI JAIRO....HAKI YA MUNGU NCHI HII KUNA MA-BOX YA WATU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom