Ajali ya Fuso na Noah Kisongo Arusha

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,922
10,457
Hii gari ni aina ya fuso basi yenye namba za usajili T128 BPC.hii gari ilikuwa imetokea Arusha Mjini ikielekea Karatu. Ilipofika maeneo ya Kisongo dereva wa basi aliovertake Noah iliyokuwa mbele yake na kulikuwa na landcruzer iliyokuwa ikikatisha upande wa kulia. Ndipo basi hilo lilipogonga cruizer na kuiangukia Toyota Noah iliyokuwa upande wa kushoto.

Hakuna mtu aliyekufa bali dereva wa basi hali yake ilikuwa mbaya na aliwahishwa hospitali ya mkoa Mount Meru.

JF Kisongo.jpg

JF Kisongo 2.jpg JF Kisongo 3.jpg
 
Mkuu mbona umekuwa mkali Sana..kisa ni muhongo kukataa kujiuzulu?

Watu wanahasira sasa ukimgusa bahati mbaya anakuumiza makusidi.

Imetokea wapi maana pale magereza leo pana kazi ya Safina...nimepita muda si mrefu sijaiona hiyo kaka?!
 
Watu wanahasira sasa ukimgusa bahati mbaya anakuumiza makusidi.

Imetokea wapi maana pale magereza leo pana kazi ya Safina...nimepita muda si mrefu sijaiona hiyo kaka?!

mkuu acha tu watu wamevurugwa wasipokuwa makini masaki watu wataanza kuingia kwa viza! maana watoto wa mbwa watawafata hukohuko
 
Back
Top Bottom