Ajali ya basi Nzega-Tabora

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196

"Habari zinaeleza kuwa jioni ya leo Watu 22 wanahofiwa kufa papo hapo na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya basi iliyotokea maeneo ya Nzega-Tabora wakati likielekea jijini Mwanza." Wenye habari zaidi tujuzane


Kanda ya Ziwa kunani leo?


Source: Michuzi JR
 
Nasikia lilikuwa linaelekea mwanza. Jamani wenye data tafadhali SIKONGE si ndo kwenu huko?
 
Back
Top Bottom