Ajali ya basi la Abood, Kibaha

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Kuna ajali ya abood imetokea Muda huu jioni eneo la misugusugu kibaha, bus inatokea morogoro hakuna aliekufa ila kuna majeruhi kadhaa
1458921300958.jpg
 
Daaa!!!! Hivi ajili mpaka lini nchi hii? Mwenyenzi mungu awaponye haraka
 
Pole majeruhi nawaombea wapone haraka .Nini chanzo cha ajali hiyo tafadhali kwa wakiyo eneo la tukio.
 
Back
Top Bottom