Ajali veta Changombe

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Katika pita pita zangu nimekuta ajali leo eneo la veta inayohusisha lorry aina ya Scania lililokuwa limebeba steel plate rolls kutoka bandarini

Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni uzembe wa usalama wa barabara ambapo gari hilo lililobeba huyo mzigo huo kutokuwa na safety guards kwenye zigo wake hivyo kupelekea mzigo huo kudondoka lilipopunguza mwendo kwenye rail crossing

Dereva Utingo wote wako salama ila ni mstukotu wa ajali

Namuonea huruma tajiri maana Engine imepondwa na kuvunjwa katikati ya engine na gearbox

picha:
 

Attachments

  • Ajali Veta.jpg
    Ajali Veta.jpg
    227.7 KB · Views: 67
  • Ajali Steel roll.jpg
    Ajali Steel roll.jpg
    203.6 KB · Views: 59
  • Ajali veta side.jpg
    Ajali veta side.jpg
    195.9 KB · Views: 58
Usiwaonee Huruma Hao Onea Ambao Wangeathirika Hao Wanaangalia Pesa Tu:::;hawaangalii Adhara Yatakayotokea......tena Wakome Siku Nyingine
 
True say Mwnahalisi, lakini nilikuwa namuonea huruma kwa uzembe wake wa kutofuata sheria muhimi sasa atakula debe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom