AJALI: Treni ya abiria kutoka Tabora kwenda Kigoma imeanguka huko Uvinza. Taarifa zilizopo watu watatu wamejeruhiwa

Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Makame Mbarawa amesema Serikali imenunua vichwa 11 vilivyokuwa havina mwenyewe na vitatumika kwenye reli ya Standard Gauge SGR itakapokamilika.

FB_IMG_1519985545620.jpg

FB_IMG_1519985534588.jpg
 
Back
Top Bottom