hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,116
Shikamoo" hapo kwenye miundo mbinu "" (kongole mkuu)...kama hiki kipnde cha morogoro road kuanzia chalinze kwenda dar "" ni hatari ..bara bara ina mawimbi mawimbi "" kama kimbunga cha tsunamiKuwa makini, mwendokasi ni sehemu ndogo sana ya kusababisha ajali, inaonekana wenye magari wanakukera sana. Ajali nyingi za sasa ni sababu ya miundombinu mibovu (barabara) ila kwa kuwa serikali inahusika hawataki kuliona hili. Sababu nyingine ni ubovu wa magari...hapa ndio kuna rushwa ya ukaguzi. Na sababu ya tatu ni rushwa katika upatikanaji wa leseni hapa pia Polisi na TRA wanahusika