AJALI: Tank la mafuta limeanguka na kuwaka moto maeneo ya Sokota TAZARA

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Wakuu
Kuna tank la mafuta limeanguka, tank limewaka moto, maeneo ya Sokota Tazara, barabara imefungwa kwa ajili ya kuzuia madhara zaidi.

Watu wachukue tahadhari wasije kuingia zile tamaa za kuchota mafuta yaje kuwakuta!

WhatsApp-Image-20160517.jpg
 
Mbona moto hakuna sasa siuoni au macho yangu tu wapendwa? Atakayeuona tafadhali anizoom-miye
 
Samahani kama una utani na waleeeeeee ndugu zetu kutoka mwanga & same
 
Back
Top Bottom