AJALI Shinyanga: Basi la kampuni ya Unique limegongana na lori la Cocacola, kadhaa wafariki dunia

chongchung

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
12,014
34,715
Kuna ajali imetokea Shinyanga watu kadhaa wanadaiwa kupoteza uhai.
Taari zaidi zinakuja.

MUNGU tunusuru na hizi harakati za wagombea.

======= Updates ========
Kumetokea ajali kati ya basi la Unique lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga.

Watu zaidi ya 10 wamefariki na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.


attachment.php
attachment.php
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • basi1.jpg
    basi1.jpg
    54.7 KB · Views: 18,420
  • basi2.JPG
    basi2.JPG
    40.5 KB · Views: 17,899
  • IMG_20150422_192835.jpg
    IMG_20150422_192835.jpg
    53.9 KB · Views: 1,510
  • IMG_20150422_193409.jpg
    IMG_20150422_193409.jpg
    46.4 KB · Views: 15,320
  • IMG_20150422_193413.jpg
    IMG_20150422_193413.jpg
    45.1 KB · Views: 16,465
  • IMG_20150422_193418.jpg
    IMG_20150422_193418.jpg
    53.9 KB · Views: 16,325
  • IMG_20150422_193426.jpg
    IMG_20150422_193426.jpg
    60.1 KB · Views: 16,295
Ni kweli ajali hiyo imehusisha basi la Kampuni ya Unique namba za usajili T148 BKK likitokea Jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na gari la Kampuni Ya Cocacola katika kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye Shinyanga.

Taarifa za awali zinasema watu 5 wamefariki na majeruhi (Idadi yao bado haijafahamika) wamekimbizwa katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
 
poleni majeruhi na wafiwa kwa tatizo lililowakumba.Kampuni ya unique ni kampuni ya zakaria ila amebadili jina baadhi ya mabasi ili aweze kupeleka mabasi yake tabora. Mwenyezi Mungu awalinde majeruhi na warudi katika afya ya awali
 
Wapendwa sikwaubaya ukwelikunabaazi yapicha zikisambaa whatsup zamwakajuzi hhasazameridia. Waliotumaniliwaweka wazi
 
wadau kuna basi limeanguka muda huu na kuua wanane papo hapo mpakani mwa shinyanga na kahama.mwenye taarifa zaid atuletee. SOURCE:TIMES FM,BREAKING NEWS
 
Hizi baadhi
 

Attachments

  • 1429714452649.jpg
    1429714452649.jpg
    177.7 KB · Views: 16,842
  • 1429714470412.jpg
    1429714470412.jpg
    175.2 KB · Views: 17,021
  • 1429714485931.jpg
    1429714485931.jpg
    180.8 KB · Views: 5,384
Back
Top Bottom