kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Kuna ajali imetokea maeneo ya mtoni Kichangani mida ya saa tano na dakika 20 usiku huu ikihusisha pikipiki 2 aina ya boxer. Madereva wote wawili wanasadikiwa kufariki dunia na tayari. Wamekimbizwa Temeke hospital.
Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo kasi wa pikipiki hizo na madereva kutovaa helmet.
Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo kasi wa pikipiki hizo na madereva kutovaa helmet.