EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Ajali ya basi la Kampuni ya Southern Coach katika kijiji cha Miteja, Kilwa, Mkoani Lindi, iliyotokea leo majira ya saa 8 mchana. Kwa mujibu wa mashuhuda, hakuna aliyefariki japo kulikuwa na majeruhi walioumia vibaya na kukimbizwa hospitali. Chanzo cha ajali bado hakijajulikana
Sehemu ya nyuma ya basi lililopata ajali leo
Sehemu ya nyuma ya basi lililopata ajali leo
Wanakijiji wakiangalia kama kuna abiria aliyenaswa ndani ya basi. Picha zimeletwa na mdau kwa kutumia simu yake ya iPhone. Picha zote kwa Hisani ya Michuzi Blog