Ajali njiapanda ya kilingeni

hahahah jamii forum kiboko watu wanazoom kalio na manyonyo hahahhaa,ila anafaa kwa mgegedo huyu chiboke.ashukuru ungo haujaangukia njiapanda ya masela gwelaa
 
Hivi huyu mchawi umkute mchana kavaa dera utachomoka kweli?? Tunalalamika matatizo ya nguvu za kiume kumbe tuna paramia Michawi tunalala nayo Inatunyoosha..

Sema hapo sjui kesi yke itakuaje na mlalamikaji ni nani na atashtakiwa kwa kosa gani? Siku nyingine ajifunze kufanya service gari lake mambo yakuweka mafuta ya kupima ndo hayoooo...

Sema kanona jamani
Umeongea point ya maana sana hasa para ya kwanza
 
Hilo ni chezo tu hakuna mchawi hapo..
Mchungaji a!efanya deal ili kuvutia waumini wapya kanisani kwake ionekane ana nguvu ya kukamata wachawi.
 
Ukimleta Kiranga hapa and co,
Utasikia hakuna kitu kama uchawi.
Mara oooh... prove kama huyu alikuwa akiruka angani.
Yaani hawa jamaa misuli ya shingo imekakamaa kwa ubishi.
Kiranga uko wapi? Njoo huku.

Kwani wewe una uhakika gani kama huyo ni mchawi kweli?
 
Kinachonipa wasiwasi ni kuwa wamemuweka nyuma ya defender na imefunikwa ndani ni giza, mbona ndio kama wanampa wayout huyo dada because wachawi na giza ni kama chai na mkate.. anapotea kilaini kabisa!!!!
 
Kinachonipa wasiwasi ni kuwa wamemuweka nyuma ya defender na imefunikwa ndani ni giza, mbona ndio kama wanampa wayout huyo dada because wachawi na giza ni kama chai na mkate.. anapotea kilaini kabisa!!!!
Hachomoki police haiamini katika uchawi
 
Wajuvi tunasema hiyoilikuwa ni hitilafu ya kiufundi tu inayotokana na upungufu wa fresh blood kwenye kibuyu na uzito wa ZIGO la kuvunja chaga uliopelekea Ungo kupoteza mwelekeo na kuanguka ardhini..Ila anabahati hakuangukia kwa wahuni wangemvua hizo hirizi af wakamgegeda kwanza
 
Back
Top Bottom