AJALI MWANZA: Basi la Dar Lux lapata ajali

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Watu wawili wathibitika kupoteza maisha, na wengine 18 wajeruhiwa eneo la Ukiliguru, nje kidogo ya jiji la Mwanza

Basi la Dar Lux linalofanya safari zake Dar kwenda Mwanza lilipinduka usiku wa kuamkia leo.

=======

UPDATE
Vifo vimefikia 3, majeruhi 8 wahamishiwa Bugando Hospital huku 20 wakiruhusiwa, Polisi yathibitisha.

Mwendokasi ndio kilichotajwa kuwa chanzo cha ajali
 
Back
Top Bottom