MICHUTZ
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 271
- 531
Ajali imetokea Jioni Hii daraja LA MTO wami USO kwa uso basi pamoja na Fuso. Taarifa zaidi zinakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mamba ila kuna vibokoHivi huko chini si kuna mamba?
Viboko wanakula watu?Hakuna mamba ila kuna viboko
Viboko wanakula watu?
Kwann lijengwe la gari moja?Kama sio kwamba kuna gari limefeli break.
Basi ni utaahira wa madereva maana daraja linafahamika ni njia ya gari moja kwa wakati sasa watakutana vipi hapo kati kati kama vile wanataka kuwahiana?
Kwanini anunue bombadier hali ya kuwa daraja lina beep kuua raia?Aisee yaani kila kitu Magufuli duh!
Angalieni siku msipofuliwa nguo nyumbani napo mtakuja sema Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwepo wakati linajengwa mkuu.
Hata mimi nashangaa, daraja linajulikana. Kwa haraka haraka huyo mwenye Lori kama amelazimisha maanake yuko mwanzoni kabisa.Kama sio kwamba kuna gari limefeli break.
Basi ni utaahira wa madereva maana daraja linafahamika ni njia ya gari moja kwa wakati sasa watakutana vipi hapo kati kati kama vile wanataka kuwahiana?
Dah,ilibaki kidogo tu bus liingie mtoni aisee
Ukiachana na hiyo ajali mkuu hivi hii picha ulipigaje inaonekana ulikuwa parallel kabisa hapo