Ajali Morogoro road yatutesa

Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
660
298
Wanajamvi wenzangu leo nilikuwa safarini toka songea kuja dsm. Tulipofika kibamba tukakuta kuna ajali ya lori la kampuni ya pepsi barabara imejifunga mpaka sasa hivi saa tisa usiku kasoro dakika kumi ndio askari wameweza kufungua barabara. Kwakweli tumeteseka sana hasa watoto wamelia mpaka wamechoka.
 
poleni sana


Kwa kibamba ngeweza kushuka na kupanda daladala upande wa pi wa ajali........... au palifunga kabisaa??
 
poleni sana. manake hao mbu wa kibamba leo mmewasherehesha. msijali,msafiri kafiri hasa akiwa wa tz.
 
Poleni, vumilieni ndugu. Ndiyo nchi yetu hiyo!! Unaweza kupiga simu polisi kutoa taarifa kama hiyo, utakuja kusikilizwa pengine ulishakufa.
 
wanajamvi wenzangu leo nilikuwa safarini toka songea kuja dsm. Tulipofika kibamba tukakuta kuna ajali ya lori la kampuni ya pepsi barabara imejifunga mpaka sasa hivi saa tisa usiku kasoro dakika kumi ndio askari wameweza kufungua barabara. Kwakweli tumeteseka sana hasa watoto wamelia mpaka wamechoka.

poleni sana bandugu
ndo tz yetu hii waokoaji,
askari hakunakitu
unapata ttz wanakuja
too late hata kama isingebidi maafa yatokee kwa uchelewaji tu umauti unawakuta watu
 
poleni sana bandugu
ndo tz yetu hii waokoaji,
askari hakunakitu
unapata ttz wanakuja
too late hata kama isingebidi maafa yatokee kwa uchelewaji tu umauti unawakuta watu

Ahsante sana dadaangu. Mungu ni mwema tulifika salama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom