Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

izo coaster zikichanganya kule mbele inanesa nesa utamu-utamu hadi raha,

ikiwa mpya ndio kabisa, ngoma inapiga 0 to 60 in 15 seconds

kwa mbaali ukisikilizia pistons zikilalamika kama uko karib na maeneo ya mbele pale

karaha ni hiyo ajali , poleni sana wafiwa
wewe jamaa bhana
 
H

Ww ndio taga usiejua tunafahamu SSH ndie rais wa tz na shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM, may his precious soul rest in eternal peace and power, amen) amerudi nyumbani kwa Muumba! Pia tunajua alikuwa mkweli kwetu watz, siyo kama saleout wengine ! Tunaomba sana Mungu mama yetu huyu SSH atafuata nyayo za mtangulizi wake !
Takataka wewe
 
Akili yako ni takataka na ndio ikijuacho...na katu sio mimi, ww unajua na wote wanajua😜!
 
Back
Top Bottom