Huu mwezi nadhani zaidi 50 wamezikwa kwenye haya magari na bado hakuna hatua wala tamko wakati akifa tembo mmoja lazma tamko litolewe
tumwombe Mungu tu atusaidiemmmh kumekucha, jana mwanza leo tanga, hadi inatisha kwa kweli
mmmh kumekucha, jana mwanza leo tanga, hadi inatisha kwa kweli
Mwisho wa mwaka huu best!
Idhrail anataka akule vidhuri Xmass na Mwaka mpya!