Ajali Mkoani Tanga; Watu 6 wafariki na 21 Majeruhi

Ni ajali iliyotekea hivi punde Mkoani Tanga katika eneo la Kange sehemu ya mizani ikiwa gari aina ya toyota hiace imegonga roli la mizigo kwa nyuma.

Majeruhi wamewaishwa hospitali ya Bombo.

Source: ITV

Ni kweli, mm niko hapa Tanga na mishale ya saa 3 usiku kuna jamaa mmoja alifika baa tuliyokuwepo akisikitika sana. Dereva wa hiyo daladala ndiyo mwenye daladala na alikuwa rafiki yake wa karibu. Konda alikuwa mtoto wa dereva. Inasemekana kuwa kama dereva angekwepesha upande wake usingonge lori, basi upande wa konda ungeathirika zaidi. Baada ya seleka hizo, gari liligonga nyumba.
 
Ni ajali iliyotekea hivi punde Mkoani Tanga katika eneo la Kange sehemu ya mizani ikiwa gari aina ya toyota hiace imegonga roli la mizigo kwa nyuma.

Majeruhi wamewaishwa hospitali ya Bombo.

Source: ITV
pole zao wote waliokuwa wanawategemea marehemu na hawa majeruhi..
 
Back
Top Bottom