Ajali Millenium Towers...!

Status
Not open for further replies.

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,936
3,665
Imehusisha Taxi Na Daladala...!
 

Attachments

  • IMG0120mill towers.jpg
    IMG0120mill towers.jpg
    13.2 KB · Views: 138
  • towers.jpg
    towers.jpg
    16.8 KB · Views: 94
Madreva taxi wa hapo M. Towers ni balaa. Ukiona wanavyokimbilia abiria utapatwa na butwaa!


.
 
Mbona hii ajali ndogo sana kisha tunakaa tunashtuana bila sababu za msingi? Wengine tuna ndugu wanaganga njaa maeneo hayo? hebu fikiria kama kila mtu ataamua kuweka hapa JF kila ajali anayokutana nayo magari yakiwa yamegusana si itakuwa balaa...

Ahsante kwa kutuletea Post hii mapema na katika muda muafaka lakini jambo la muhimu zaidi ni kuhakikisha ya kwamba News tunazopeana hapa ni nzito nzito.

Hii najua ni madhara ya zile njia tatu pasua kichwa!!!
 
mbona Hii Ajali Ndogo Sana Kisha Tunakaa Tunashtuana Bila Sababu Za Msingi? Wengine Tuna Ndugu Wanaganga Njaa Maeneo Hayo? Hebu Fikiria Kama Kila Mtu Ataamua Kuweka Hapa Jf Kila Ajali Anayokutana Nayo Magari Yakiwa Yamegusana Si Itakuwa Balaa...

Ahsante Kwa Kutuletea Post Hii Mapema Na Katika Muda Muafaka Lakini Jambo La Muhimu Zaidi Ni Kuhakikisha Ya Kwamba News Tunazopeana Hapa Ni Nzito Nzito.

Hii Najua Ni Madhara Ya Zile Njia Tatu Pasua Kichwa!!!

Sawa Kabisa! Naunga Mkono Point Yako.
 
Ugua pole mahesabu! I hope you were not in the taxi?


.
I was just coming from mwenge in a Bajaj, i dropped there and took those photos in order to share with others what happened out there.....!
it was an accident..... no matter how big it was..... it was accident...!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom