Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

ALT

Member
Oct 6, 2021
78
90
Wanabodi

Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala.

Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki papo hapo na majeruhi wa kutosha wamepelekwa wengine hosiptali ya mkoa, seketure kwa matibabu zaidi.

NIMEAMBIWA KWAMBA:-
" ...wakati mchaka mchaka ukiendelea alfajiri, giza likiwa nene, wanafunzi wakiwa kwenye lami, daladala ambayo haikuwa imewasha taa, ilipiga breki katikati ya umati wa wanafunzi hao ambapo 2 walifariki papo hapo, wakati dereva akitafuta namna ya kusimama, akazidi kujeruhi wengine..."

Kama ulivyo na maswali mengi, mimi pia nina maswali mengi, inakuaje kuaje yani? Nimejaribu kuwauliza wanafunzi wa sekondari butimba wanoenda shule asubuhi ya saa moja, wengi wao hawajui. Ila boda wana taarifa hii.

Naomba eidha wanafunzi wenyewe watujuze au wanaoishi viunga hivyo. Kama hili ni kweli au laa.

Narudia, tetesi hii nimepewa na bodaboda wanaopaki maeneo ya geti la butimba ttc.
 
Ikiwa kweli uje utoe mrejesho.

Tetesi: Siamini taarifa yako
 
Sijui kuhusu "casualties " ila siyo chuo cha walimu butimba, bali ni chuo kingine karibu na butimba.
 
Wanabodi

Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala.

Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki papo hapo na majeruhi wa kutosha wamepelekwa wengine hosiptali ya mkoa, seketure kwa matibabu zaidi.

NIMEAMBIWA KWAMBA:-
" ...wakati mchaka mchaka ukiendelea alfajiri, giza likiwa nene, wanafunzi wakiwa kwenye lami, daladala ambayo haikuwa imewasha taa, ilipiga breki katikati ya umati wa wanafunzi hao ambapo 2 walifariki papo hapo, wakati dereva akitafuta namna ya kusimama, akazidi kujeruhi wengine..."

Kama ulivyo na maswali mengi, mimi pia nina maswali mengi, inakuaje kuaje yani? Nimejaribu kuwauliza wanafunzi wa sekondari butimba wanoenda shule asubuhi ya saa moja, wengi wao hawajui. Ila boda wana taarifa hii.

Naomba eidha wanafunzi wenyewe watujuze au wanaoishi viunga hivyo. Kama hili ni kweli au laa.

Narudia, tetesi hii nimepewa na bodaboda wanaopaki maeneo ya geti la butimba ttc.
Sio chuo cha Walimu Butimba huyo boda boda wako mwambie akupeleke Bunda IL uje na taarifa kamili. Tukio Hilo limetokea majuzi linahusisha wanachuo wa Bunda TC. Sio Butimba.
 
Hizi jogging za makundi nilijua tu ipo siku kundi moja litapitiwa na gari.
 
Back
Top Bottom