Ajali Mbaya- Yombo

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea mchana huu mitaa ya Yombo-Temeke, ambapo dala dala moja imegongwa na Treni.
Idadi ya majeruhi na watu waliopeteza maisha haijathibitishwa...
 
ivi ni yombo au mitaa ya hapa chang'ombe?maana na hapa treni limegongana na daladala

Dah hili ni tatizo na kilio chetu hawa madereva wazembe kila kukicha ajali.
Tunaomba Mungu lisije likawa janga la taifa.
 
Wherever it could be, lets patient, na tuombe watu wasipate madhara!
 
ivi ni yombo au mitaa ya hapa chang'ombe?maana na hapa treni limegongana na daladala
mmmh treni tena? hapo sijui nani mwenye makosa! i hope there are no casualities!
 
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema kwamba kuna ajali mbaya imetokea mchana huu mitaa ya Yombo-Temeke, ambapo dala dala moja imegongwa na Treni.
Idadi ya majeruhi na watu waliopeteza maisha haijathibitishwa...

Treni haiwezi kuligonga gari.Ni gari ndio limegonga treni au limekanyagwa na treni.Na hiyo ni haraka haraka za daladala kuwahi abiria
 
It is so obvious treni limegonga gari..unless iliacha njia, which i higly doubt!
Labda walikuwa wanajaribu mambo ya Fast and Furious!
Anyway, May God intervene in that situation, Amen!
 
Taarifa zilizotufikia sasa hivi zinaeleza kuwa, basi moja la abiria (daladala) ambalo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja, limegonga treni na kwamba mtu mmoja (mwanaume) amefariki dunia.
Ajali hiyo imetokea eneo la Davis Corner, Tandika Yombo jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kufafanua kuwa watu 26 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Temeke kwa matibabu!​
 
It is so obvious treni limegonga gari..unless iliacha njia, which i higly doubt!
Labda walikuwa wanajaribu mambo ya Fast and Furious!
Anyway, May God intervene in that situation, Amen!

kwa kiswahili sanifu na sheria za barabara treni huwa haligongi gari ila gari ndio linagonga treni.Na kwenye crossway ya barabara na reli,Treni ndio yenye Right ya kupita kwanza na magari yanatakiwa yasubiri mpaka treni ipite.
 
Back
Top Bottom